ads slot

Latest Posts:

TATIZO LA NGUVU ZA KIUME NA JINSI YA KUEPUKA

Tatizo la upungufu wanguvu za kiume linazidi kukuwa kila siku duniani miongoni mwa wanandoa na wapenzi wengi hasa vijana.Hii kupelekea wanawake wengi kutoenjoy tendo la ndoa kiukamilifu.Takwimu zinaonyesha kila ndoa 4 kati ya 10 zenye umri wa miaka 3 na kuendelea zinakabiliwa na tatizo hili na kila kwenye wanaume 6 kati 10 hulalamika kuwa na tatizo hili.Hapa utakuta wengine wanawahi kufika kileleni,wengine akimaliza round moja hawezi kurudia na wengine huchoka sana na kupata maumivu baada ya tendo.sasa watu wengi sana wamekuwa hawatambui chanzo cha tatizo hili kwasasa matokeo yake wamekuwa wakikimbilia sehem ambazo wanafikiri ndizo salama wengine hujichua,wengine hutumia dawa zenye kemikali ili kuweza tu kuwafurahisha
wapenzi wao kumbe ndo wanajiua kabisaa.Kutokana na mabadiliko ya teknolojia,ulaji mbovu wa vyakula na kutokufanya mazoezi ndio kumeleta matatizo haya.
FANYA HAYA KUEPUKA
1.Fanya mazoezi kima cha chini dk 20,we unakula vyakula vyenye kemikali halafu kazi yako ni kutoka kwenye AC kazini unaingia kwenye AC ya gari na mwisho kwenye feni nyumbani hutoki jasho unafikiri mzunguko wako wa damu utakuwa sawa? lazima upate tatizo hili.
2.Epuka vyakula na vinywaji vyenye sukari kwa wingi
3.Epuka matumizi ya simu kwa muda mrefu au kugeuza sim nyuma ikiwa mfukoni.
4.Jenga tabia ya kutoa sumu mwilini kwani vyakula vingi tunakula vina sumu,naweza kukuelekeza vipi utoe sumu.
5.Epuka vyakula vyenye mafuta kwa wingi mfano chips.
6. Jenga tabia ya kuangalia mwili wako hasa tatizo la tezi dume.watu wengi ambao wanalalamika nguvu za kime kila ninapowafanyia checkup ya mwili mzima nawakuta na tatizo hili na ninapoondoa tatizo hili tu basi hali yao inarudi kama zamani.
VYAKULA VINAVYOONGEZA NGUVU ZA KIUME
1.Tikiti maji 2.Chaza na pweza 3.Parachichi 4.Vanila. 5.Tangawizi.6.Ndizi mbivu.Tumia vyakula hivi kwa wingi uwezavyo vitakukinga na tatizo hili.
Tahadhari utumiaji wa dawa zenye kemikali unaharibu hadi ubongo ni hatari kabisa ipo tiba halisi kabisa isiyokuwa na madhara kwa mwili wako na tatizo linaondoka.
Kama unaswali,unahitaji ushauri au tatizo lolote la kiafya usipate shida niadd kama rafiki,nipigie sim au nifuate watsap kwa 0715448643 ni free kabisa.
Share on Google Plus

About Bassanga One

This is a short description in the author block about the author. You edit it by entering text in the "Biographical Info" field in the user admin panel.
    Blogger Comment
    Facebook Comment

2 comments:

  1. Ahsante jwa elimu hii hata kama mimi mwanamke lakini Nimejifunza. ..namba tatu kugeuza simu nyuma ikiwa mfukoni ...ni aje?

    ReplyDelete
  2. Ahsante jwa elimu hii hata kama mimi mwanamke lakini Nimejifunza. ..namba tatu kugeuza simu nyuma ikiwa mfukoni ...ni aje?

    ReplyDelete